GetTor ni huduma ambayo hujibu ujumbe kiotomatiki (Barua pepe, Telegram) inayounganisha toleo jipya la Tor Browser, inayohifadhiwa katika eneo maalumu, kama vile dropbox, Google Drive na GitHub.
      
        
          Spelling notes:  T ya pili ina herufi kubwa pale inapowezekana: GetTor.
         
      
      
        
          Translation notes:  Usitafsiri.